Msaada wapenzi wa hip hop

Msaada wapenzi wa hip hop

mayuni

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
404
Reaction score
32
Jamani nawapenda sana wasanii wa hip hop hasa wale wa miaka ya 90 kwa mfani SOS B.kama kuna mtu ana nyimbo za SOS B naomba aniwekee link au anitumie hata whatsapp 0755671568......hip hop hooray

Sent from my BlackBerry 8520 from south-west Tanzania
 
Duh mi nna KU km joint 3 ivi na za GWM km vp nikusogezee izo za SOS B tizi dzain kuzipata.
 
Nenda utube ukazisake.

 
Last edited by a moderator:
Poa wadau wangu....kwa upande wangu nimezisaka sana kwa majamaa wote pale kariakoo lakini sijazipata....

Sent from my BlackBerry 8520 from south-west Tanzania
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom