Tuntufye01
Member
- Oct 6, 2016
- 19
- 10
Eti nitapata chuo kweli? Kila nikiingia kwny profile naona hivi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] hata kumpa moyo hakuna.udahili wa diploma kwenda degree tunaanza kuchukua GPA ya 3.0 na kuendelea wewe imekula kwako asante kwa ushiriki wako.
maumivu ya kudanganywa yanakuaga makali kuliko ya kuambiwa ukweli. kampunguzia maumivu hapo.[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] hata kumpa moyo hakuna.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]best loser ..poleee sana
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]jaribu kurisit mkuu upate gpa japo gentleman gpa kama ya baba riz
Kumbemaumivu ya kudanganywa yanakuaga makali kuliko ya kuambiwa ukweli. kampunguzia maumivu hapo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]best loser ..poleee sana
sijajuelewa arisit?jaribu kurisit mkuu upate gpa japo gentleman gpa kama ya baba riz
Hahahahaaa Loh hili ni jungu cubicKama udsm diploma waliochukuliwa ni GPA ZA 4 + je wewe 2.8 yako nenda vile vyuo sijui zayon, sijui nn hua viko gorofani halafu chini kuna maduka
Jifanye umeelewa yaishe tu mkuusijajuelewa arisit?