Msaada wapendwa nina gpa 2.8 accountancy

Msaada wapendwa nina gpa 2.8 accountancy

Kama udsm diploma waliochukuliwa ni GPA ZA 4 + je wewe 2.8 yako nenda vile vyuo sijui zayon, sijui nn hua viko gorofani halafu chini kuna maduka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona mimi nina na GPA ya 3.6 nimepata UDSM.
 
Kama udsm diploma waliochukuliwa ni GPA ZA 4 + je wewe 2.8 yako nenda vile vyuo sijui zayon, sijui nn hua viko gorofani halafu chini kuna maduka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chaaaaa
 
ngoja niongee na mkuu hiyo pesa yako tukanywee chai kesho asubuhi asanteh kwa kutuchangia
 
Back
Top Bottom