Hbarini za asubuhi wapendwa, hope mnawndelea vema na shughuli zenu za kila siku.
Back to topic,
Mimi ni msichana nina miaka 26, nina mchumba ambaye tupo kwnye process za ndoa ila tumekubaliana kufanya mapenz kabla ya ndoa.(The rule of shake well before use is applied)
Tatizo mimi ni bikra sijawahi kabisa kusex maisha yangu yote. Sasa naogopa kweli kufanya mapenzi, nakuwa na hofu sana hadi siku tukilala wote inakuwa ni vita kitandani. Tunapendana sana na hali hii ya kuogpa kusex inamkosesha raha na hataki kulazimisha anataka niwe huru.
Naombeni ushauri jamani nifanye nini niondokewe na huu woga maana nimekuwa nawaza tu nitaumia nikisex.
Naombeni msaada wa mawazo jamani, hii hali ni kawaida au nina tatizo?
Asanteni sana.