Hawa wanaokuambia kua ulibugi ulivyoomba namba sijui method zao za nchi gani. Anyway you did the right thing, now continue doing the right thing kwa kibonyeza ile button yetu pendwa 'NEXT' she isn't worth your time.
Kama ushauri wangu huu haujaupenda tuendelee, Bali mimi binafsi ningeanza kuangalua dots nyingine kwenye radar.
Okay ushauri numero deux;
Kwanza ulikosea sana kuchelewa kuongea nae. Kila siku mnaonana alafu husemi lolote. Hapo ulishakosea step moja ya stairs... Nyanyuka. Ni hivi, hii itakusaidia hata mbeleni. Three second method rule, pale unapomuana mtu unayempenda this goes to all genders, hesabu sekunde tatu, ukichelewa ujue chances zipo kwa mwenyezi Mungu. Unatakiwa useme lolote within those 3 seconds. Pia unaanza nakumchekesha, ongelea kuhusu hali ya hela, ongelea kuhusu usafiri wa daladala, something around you. Ila usiende kwenye siasa wala dini. Hapa unaincrease chances za namba but not guaranteed. I have had success in this. Make the convo short and funny, mwishoni mpe simu yako and just tell her input your digits.
This works all the time, au unaweza kumtoa for an instant date, hata ya maji or Ice cream. Wakati unaongea you must touch her somehow, kazi kwako how. Ila mimi naongeaga kitu then nasema nipe high five or something, hii inaondoa touching boundaries, anakuwa hakuogopi. Wakati unaongea usiangalie pembeni, muangalie machoni then lips then back up machoni. And try and be close to her kidogo. Wakati mnaagana mpe hug, wewe fungua mikono with a huge smile and tell her 'Cmon give me a good hug', Fanya ishu iwe fun.
Btw, daladala sio sehemu nzuri ya kuflirt... Trust me. Girls wanakuwa na bitch shield loaded 100%
Warning: kama wewe mtu wa kuwa serious then don't try this.
Remember smile. Good luck champion!
-callmeGhost