Msaada wanaume tu

fund xaa

JF-Expert Member
Feb 12, 2017
258
225
Habari wakuu

Naomba niende moja kwa moja kwenye mada wazoefu naombeni msaada kuna demu kila siku napanda nae dala dala tunashuka kituo kimoja nimetokea kumpenda kinoma leo nikamsalimia akajibu lakini nimemuomba namba kakataa msaada niende na gia gani tena anielewe?
 

KweliKwanza

JF-Expert Member
Aug 20, 2016
3,216
2,000
Weka nae mazoea ya kawaida
Juz lyk people who know each other
Baadae mtakuwa closer
 

Nkanini

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
1,883
2,000
hiboooo,Fundi nenda taratibu mbona umeharakisha kuomba namba yake,vitu vizuri u need to take ur time havihitaji haraka.
 

APEFACE

JF-Expert Member
Oct 1, 2016
3,438
2,000
Ungeanza kwa kum-suprise kama vile unamjua...then usimuombe namba siku hiyohiyo...after then ungempa simu yako aandike namba asingepindua....cha kufanya kesho ukionana nae wala usilazimishe akupe namba..yani jifanye kama huna habari nae...na unapompa salam usitabasamu...mchunie kama siku tatu hiv...then siku nyingne ukionana nae mchangamkie alafu mpe simu yako ajaze namba.lazima atakupa..maana atabaki na mshangao mana ataona kama hutabiriki...mana wanawake wanapenda wanaume wasiotabirika...
 

Mr.Junior

JF-Expert Member
Sep 8, 2013
10,284
2,000
habari wakuu

naomba niende moja kwa moja kwenye mada wazoefu naombeni msaada kuna dem kila siku napanda nae dala dala tunashuka kituo kimoja nimetokea kumpenda kinoma leo nikamsalimia akajibu lakini nimemuomba namba kakataa msaada niende na gia gani tena anielew.
Tumia gia namba 16.

Yaani hafi namba ya simu unaomba msaada wa jinsi ya kuomba.......
 

Africa Tanzania

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
1,253
2,000
Daahhh Huyo Nahisi ni demu wa jamaa..... Ila Wewe unamuiba,,, hahahaaaaaa! Weka gia Namba 1, ikichanganya Weka 2 mafuta Tani yako mkuu
 

callmeGhost

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
277
1,000
habari wakuu

naomba niende moja kwa moja kwenye mada wazoefu naombeni msaada kuna dem kila siku napanda nae dala dala tunashuka kituo kimoja nimetokea kumpenda kinoma leo nikamsalimia akajibu lakini nimemuomba namba kakataa msaada niende na gia gani tena anielew.
Hawa wanaokuambia kua ulibugi ulivyoomba namba sijui method zao za nchi gani. Anyway you did the right thing, now continue doing the right thing kwa kibonyeza ile button yetu pendwa 'NEXT' she isn't worth your time.

Kama ushauri wangu huu haujaupenda tuendelee, Bali mimi binafsi ningeanza kuangalua dots nyingine kwenye radar.

Okay ushauri numero deux;
Kwanza ulikosea sana kuchelewa kuongea nae. Kila siku mnaonana alafu husemi lolote. Hapo ulishakosea step moja ya stairs... Nyanyuka. Ni hivi, hii itakusaidia hata mbeleni. Three second method rule, pale unapomuana mtu unayempenda this goes to all genders, hesabu sekunde tatu, ukichelewa ujue chances zipo kwa mwenyezi Mungu. Unatakiwa useme lolote within those 3 seconds. Pia unaanza nakumchekesha, ongelea kuhusu hali ya hela, ongelea kuhusu usafiri wa daladala, something around you. Ila usiende kwenye siasa wala dini. Hapa unaincrease chances za namba but not guaranteed. I have had success in this. Make the convo short and funny, mwishoni mpe simu yako and just tell her input your digits.

This works all the time, au unaweza kumtoa for an instant date, hata ya maji or Ice cream. Wakati unaongea you must touch her somehow, kazi kwako how. Ila mimi naongeaga kitu then nasema nipe high five or something, hii inaondoa touching boundaries, anakuwa hakuogopi. Wakati unaongea usiangalie pembeni, muangalie machoni then lips then back up machoni. And try and be close to her kidogo. Wakati mnaagana mpe hug, wewe fungua mikono with a huge smile and tell her 'Cmon give me a good hug', Fanya ishu iwe fun.
Btw, daladala sio sehemu nzuri ya kuflirt... Trust me. Girls wanakuwa na bitch shield loaded 100%

Warning: kama wewe mtu wa kuwa serious then don't try this.

Remember smile. Good luck champion!

-callmeGhost
 

Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,134
2,000
We jifanye ndio mwenye daladala na unataka namba za abiria wako...
habari wakuu

naomba niende moja kwa moja kwenye mada wazoefu naombeni msaada kuna dem kila siku napanda nae dala dala tunashuka kituo kimoja nimetokea kumpenda kinoma leo nikamsalimia akajibu lakini nimemuomba namba kakataa msaada niende na gia gani tena anielew.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom