msaada wanajf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wanajf

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by tunyi, May 22, 2012.

 1. t

  tunyi Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi ni mwajiriwa mpya idara ya kilimo wilaya ya chato. NINA MASWALI: 1) fedha ya kujikim kwa graduate ni ngapi na kwa sku ngapi.
  2) ni kilometa ngapi toka mbozi -mbeya hadi chato- geita.
  3) ni tani ngapi za mizigo zinagharamiwa na ni shilingi ngapi?

  Tafadhali mwenye informations za uhakika anisaidie. Natanguliza shukurani.
   
Loading...