Msaada wana JF

Msaada wana JF

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,628
Reaction score
4,970
Habari zenu.
Sasa yule shemeji wenu wa fb baada ya kumuimbisha kwa sanaa si ameshaingia line. Na apointimenti yetu ni the coming sunday akitokea mkoani.

Sasa bahati mbaya amepiga mahesabu yake j.pili hiyo atakua ndo anaingia period. Daah!
Naomba mnisaidie kama kuna njia ya kuzuia hiyo kitu japo kwa siku kadhaa hivi ili aitumie. kwani na nauli nishamtumia.
Msaada please.
 
Sasa msaada wa nini kuizuia hiyo period ili wewe ufaidi,tumshauri arudishe nauli au aje period itakapoisha? kwani anakuja na kuondoka si atakaa siku mbili hiyo period itakuwa imeenda kwao
 
Msaada wa kuzuia hii perios. anakuja j.mosi analala j.pili anarudi.
 
Pitia sementi kwa mangi pale ukamzibe
 
Acha ujinga. Lazima upige kwani?

Sometimes weka ubinadamu, just for a second.

I guess, she'll end up seeing you a better man
 
We kula mechi tu katika hari ya usafi.hakuna tatizo kiafya
 
Habari zenu.
Sasa yule shemeji wenu wa fb baada ya kumuimbisha kwa sanaa si ameshaingia line. Na apointimenti yetu ni the coming sunday akitokea mkoani.

Sasa bahati mbaya amepiga mahesabu yake j.pili hiyo atakua ndo anaingia period. Daah!
Naomba mnisaidie kama kuna njia ya kuzuia hiyo kitu japo kwa siku kadhaa hivi ili aitumie. kwani na nauli nishamtumia.
Msaada please.

Zama Chumvini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom