Msaada Wana JF.

Msaada Wana JF.

Pretty R.

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2012
Posts
200
Reaction score
31
Jamani naombeni msaada kuna PC yangu aina ya Toshiba iliharibika nikapeleka kwa fundi akaniambia moto ulikuwa mkubwa PC ikaungua. Kumwachia anitengenezee akaweka Motherboard mafuta. Nimeipeleka kwa fundi mwingine kaniambia haiwezi kupona mpaka ninunue motherboard mpya na upatikanaji wake ni mgumu mpaka nipate anayeuza vifaa vya Computer. Naombeni msaada wa mawazo ndugu zangu.
 
uza kama spare kwa fundi, pc ikishaharibika motherboard ni kama ndiyo imeisha hivyo
 
siwezi kupata motherboard nyingine au haziwezi kushare na PC zingine.
 
we weka mpango wa kuwa na pc nyingine kwa sababu mpaka hapo hesabia kuwa huna pc ila hao mafundi wanakupa moyo tu ili wasiendelee karibu taaluma yao
 
Sasa kama hali ya uchumi ni mbaya ndugu yangu?
 
so hard kupata motherboard mpya, hata ukipata motherboard ni expensive worth of buying pc mpya!
 
Nunua tu pc mpya, ukisema usakue motherboard mpya u never know utajikuta mwishow a siku unatafuta vispare spare kuunga ikakucost zaidi ya ambavyo ungenunua pc mpya..
 
Asanteni ndugu zangu kwa ushauri. Ngoja nijipange, kwa aliyeniuliza nipo wapi, nipo Arusha.
 
Back
Top Bottom