msaada wana jf

msaada wana jf

kudadadadadaddadadadadadadaaaaaaaaaaa ...

Sosi: Asprin


hapa ndo umuhimu wa vidumu aka mafiga matatu unapoonekana.....
 
Last edited by a moderator:
Very few, Kesi nyingi ni wanaume wamepata wanawake wrap ya wametelekeza wake na wa toto, ukikuta wanaume wanao telekezwa Wengi ni kwa ukahaba.mwanamke hamkimbii mime Kama anajiheshmu hatua Kama Hana peas labd Kesi chache sana

ukweli ni kwamba matukio huwa yanatokea kwa pande zote ila ni kwa upande wa wanawake tu ndio huwa wanaamua kuyareport...... suala la umalaya na usaliti katika ndoa linafanywa na wote
 
Pole sana lkn vunja ukimya ongea na mwenzako ili ajue kinachokuhuzi.
 
Mdada mleta mada, kila nikisoma mada yako naona kama umri wako ni mdogo na umegubikwa na utoto...
Wewe hadi leo hii ina maana hujawahi kutana na watu wenye mazoea ya kuita majina kama mpenzi, mpendwa n.k kwa watu ambao hata hawana uhusiano nao kimahaba??
Maneno "Mpenzi samahani kwa kukuchelewesha..." ni mepesi sana kusema eti umeshindwa na ndoa. Haya ngoja nikuulize, huyo mumeo alijibu vipi huo ujumbe wa maandishi???
Some minds are so crippy jamani loh!!! wewe sema ushapata mwanaume mwingine anayekuzuzua na unajifanya kujifaragua hapa uhalalishe hiyo nia yako...."mwanamke mjinga/mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake yeye mwenyeweeeeee".
 
ndugu mtoa mada kwanza kabisa makosa uliyoyaleta hapa hayatoshi kukufanya uachane ama utengane na mumeo. kimsingi kabisa hapa hakuna kosa ila naweza kusema ulitaka tu kujua wengine tunalichukuliaje.

Ukweli ni kwamba huyo mdada kumwita mumeo mpenzi inawezekana ni mpenzi wake kweli ama sio nasema sio kwani kuna watu ambao wanahualka ya kuwa na maneno ama majina matamu kwa watu wengine. mfano mimi binafsi huwa ninatabia ya kumwita mtu kaka yangu wa moyoni ama dearest ama mpendwa wangu ama mpenzi lakini kamwe hunikuti namwita mtu dear wangu hili liko served for huzzy. sasa wewe huyu kumwita mumeo mpenzi yaweza kuanguka kwenye hayo makundi mawili.

sikatai kama ni mpenzi wa kweli inaumiza sana lkn mpaka sasa bado huna proof so bado ni suspicious tu ambazo zaweza kuwa kweliama uongo.

istoshe swala la uroda kutolewa mara mbili kwa mwezi basi kosa ni lako mwenyewe. labda nikuulize wajua kuitafuta network wewe kama haipatikani?? je umeshajaribu kuona unahitaj king'amuzi gani kwa signal zilizoko?? mwenzio pengine signal zilizoko ni short wave wakati yeye anataka long wave inakuwaje??

ulishakaa nae chini mkaelezana juu ya hali halisi?? ulishajaribu silaha zako zote za maangamizi za kike ukashindwa?? kumbuka silaha za maangamizi za kike zina nguvu inayoweza kumfanya hata jitu kama samsoni akawa kama mwana mpotevu, tena zina nguvu kuliko upanga as zinaweza kubadili ulimwengu kwa sekunde.

hivyo kama huji kuzitumia njoo uombe ushauri utapatiwa ila mwanamke kukosa kupewa uroda kabla ya kulalamika pima silaha zako za maangamizi kwanza.
 
Sasa hapa unataka msaada gani? Kama unataka kutongozwa na wewe sema.Acha zako
 
jipe moyo usimwache kwani kama ni ndoa za kikikristo hamuachani ni kifo kiwatenganishe hivyo mpeleke ustawi wa jamii au kwa wazee mkamalizane
 
ndoa nyingi za siku hizi balaa tupu,ww sms wataka kuachika muulize R.B akupe ushauri,pole sana.
 
Pole sana lkn vunja ukimya ongea na mwenzako ili ajue kinachokuhuzi.

Nini tena aongee nae kapistrano wkt ashaambiwa mdada anamwita kila mtu mpnz ofcn!!...

Peleleza kwa kina zaidi ukiona mawasiliani yao yanaendelea kwa style hiyo mwibukie huyo dada akueleze vizuri huo upnz baina yake na mmeo
 
Last edited by a moderator:
kudadadadadaddadadadadadadaaaaaaaaaaa ...

Sosi: Asprin


hapa ndo umuhimu wa vidumu aka mafiga matatu unapoonekana.....

Umeonaeeee BADILI TABIA....

No stress lolz.. Na weye tafuta kipoozeo chako lolz.. Ole wako sasa ushikweeeeee sie hatumooo..

Kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
hihihihihihiiiiii .....

jichekeage tu best maana naona lugha gongana inataka kuzua ya kuzua....je, angekuta mumewe anaandaliwa chai huko ofisini, si angezirai kwa breini konkasheni ya digriii tatu!!!
 
ndoa nyingi za siku hizi balaa tupu,ww sms wataka kuachika muulize R.B akupe ushauri,pole sana.

Haha haaaaaaa Asnam .. Kwa R.B kila siku kunawaka lolz daaaa..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Na ww andikiwa meseji.

Nimekuja gundua bora kujilipa kimya kimya, vinginevyo unakufa na BP.
 
mambo ya ndani unayatoa nje hilo ni kosa no 1 linaloweza kusababisha mumeo akusaliti au ndoa yako kuvunjika,mwanamke mjinga anaivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe,angalia bi dada,utajikuta umekaa juu ya mawe
 
Back
Top Bottom