Msaada wana JF wenzangu.

Pretty R.

JF-Expert Member
Apr 14, 2012
200
195
Nimeitwa kwenye interview utumishi dar tarehe 30/12 kama kuna wenzangu humu mlioitwa kama mimi tutafutane mapema. Pia humu kuna wazoefu na waliopo makazini tayari mnisaidie possible zitakazokuwepo kwenye interview.
Natanguliza shukrani kwa michango ambayo mtanipatia.
 
Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
21,758
2,000
Nimeitwa kwenye interview utumishi dar tarehe 30/12 kama kuna wenzangu humu mlioitwa kama mimi tutafutane mapema. Pia humu kuna wazoefu na waliopo makazini tayari mnisaidie possible zitakazokuwepo kwenye interview.
Natanguliza shukrani kwa michango ambayo mtanipatia.
jiandae na kuulizwa unategemea mshahara kiasi gani
 
Posho City

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
643
250
hii thread ya ajabu kweli.maswali yanaulizwa kwa kutegemea fani.sasa wewe umeitwa fani gani kwa ajili ya taasisi ipi
 
Pretty R.

JF-Expert Member
Apr 14, 2012
200
195
Kama mtu huna mchango ni bora ukae kimya au upite kuliko kukoment ilimradi na wewe umo. Kwa waliouliza fani yangu ni political science and Sociology. Nashukuru kwa mlionijibu vizuri na tuendelee kutiana moyo hivyo hivyo wana jf wenzangu.
 
Maganga Mkweli

JF-Expert Member
Jul 14, 2009
2,090
2,000
Kama mtu huna mchango ni bora ukae kimya au upite kuliko kukoment ilimradi na wewe umo. Kwa waliouliza fani yangu ni political science and Sociology. Nashukuru kwa mlionijibu vizuri na tuendelee kutiana moyo hivyo hivyo wana jf wenzangu.

jaribu kujieleza vizuri ndugu watu wanakuuliza maswali ambayo yanawezakukusaida..

ungesema umeitwa kwenye nafasi gani..?
tangazo la mwezi wa ngapi..?

usisahau vitu vyote walivyokutaka uende navyo kama ni wengi na mnachujo lazima watakuwa wana ratiba ya mchujo wa written baadae ndio oral interview hii inategemea na nafasi na idadi ya walioitwa .. na uhakika watakuwa wamebadika ratiba kwenye tovuti yao..
 
zejame

JF-Expert Member
Apr 11, 2013
441

kwenye written interview kunakuwa na maswali gani common?au wanauliza mambo yahusuyo nn?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom