mchakachuaji192
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 366
- 69
wanajamii habarini ya majukum? naimani kila mmoja kwa nafasi yake yuko powa kabisa na tuko tayari kuachia vitanda na kujiandaa kwenda kwenye majukum ya kujenga taifa ambalo halijengeki, ndugu zangu naombeni kujua kama inawezekana ku-install ms office in ipad na kama inawezekana mwenye details zaidi animwagie hapa ndani. Natanguliza shukrani wadau
Thanks chief, nilikuwa sijui ndio maana nikasema kama inawezekana, but hiyo link nimejaribu kuifungua haifunguki, msaada wako zaidi wahitajika mkuu wangu, shukrani
Ya bure hiyo....Chagua ya pili kwenye list iwork downloads - Free software downloads and software reviews - CNET
Office haiwezi kufanya kazi kwenye iPad, pia hiyo iWork haifanyi kazi kwenye iPad ni kwa ajili ya Mac computers, pia sio "BURE" ila jamaa anakwambia uibe.
Ingia kwenye App Store, tafuta Microsoft Office, utapata option nyingi tu.
Achukue bila ridhaa ya wenyewe, ah ah ah ah ah.Kwa hiyo wanaondika kwamba wanatumia Iwork kwenye ipad ni waongo? Na wapi nimemwambia aibe wewe ndio unasema anaiba mimi nimemwambie achukue
Kwa hiyo wanaondika kwamba wanatumia Iwork kwenye ipad ni waongo? Na wapi nimemwambia aibe wewe ndio unasema anaiba mimi nimemwambie achukue
yeye ni Steve Jobs? Kuchukua sio chako ndo wizi wenyewe.detal kwenye jina andika steve jobs.
Achukue bila ridhaa ya wenyewe, ah ah ah ah ah.