Msaada wana jf kwenye window 8

Msaada wana jf kwenye window 8

Asu tz

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2011
Posts
336
Reaction score
86
habar zenu wana jf?

samahan nina tatizo kuna mtu ame unpin slide zangu za kwny window 8 so kuna baadh zimepotea kama desktop na zingine. mwenye kujua jinsi ya kuzirudisha anielekeze wakuu!
 
Peleka cursor upande wa kulia kisha click icon ya search
nc8NA6


Andika Desktop
bDdxhZ


Kisha right click Desktop na Click pin to start
iTnS9d


Fanya hivyo kwa kila application unayotaka iwepo kwenye Start Screen ya windows 8

habar zenu wana jf?

samahan nina tatizo kuna mtu ame unpin slide zangu za kwny window 8 so kuna baadh zimepotea kama desktop na zingine. mwenye kujua jins ya kuzirudisha anielekeze wakuu!!!!!
 
thanks mkuu ubarikiwe nimefanikiwa!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom