Zombi Mweusi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 1,077
- 2,164
Sawa mkuu nawategemea sanaTafadhali Nakuomba Uwe Mvumiluvu Kidogo Wataalam Wetu Wapo Kwenye
Thread Ile Inayoongelea Vita Vya Urusi Na Ukraine
Nasisitiza Watakuja Maana Ni Long Range Missile Tu
hahahahaTafadhali Nakuomba Uwe Mvumiluvu Kidogo Wataalam Wetu Wapo Kwenye
Thread Ile Inayoongelea Vita Vya Urusi Na Ukraine
Nasisitiza Watakuja Maana Ni Long Range Missile Tu
Vita Ni Vitahahahaha
ni mwendo wa artilleryVita Ni Vita
Vita Haina Macho
Long Range Missileni mwendo wa artillery
noma sanaLong Range Missile
Watu Hakuna Kulala Ukisema Suu Kimenuka
Ovaaaa ovaaaaaaTafadhali Nakuomba Uwe Mvumiluvu Kidogo Wataalam Wetu Wapo Kwenye
Thread Ile Inayoongelea Vita Vya Urusi Na Ukraine
Nasisitiza Watakuja Maana Ni Long Range Missile Tu
Naelekea Mitaa Ya Central!!Ovaaaa ovaaaaaa
umesomekaaàaaaaaaNaelekea Mitaa Ya Central!!
na assume friza ni ya AC, ila hujasema Watts ngapifriza la boss lita 230
Mkuu nahitaji 1000watt pure sine wavena assume friza ni ya AC, ila hujasema Watts ngapi
kuna changamoto mbili kuu kwenye upande wa uchaguzi wa Inverter
1. friza au friji likiwashwa linaanza na umeme mwingi ( mara 5 ya umeme wake wa kawaida ), so Inverter inabidi iwezehimili hii
2. Inverter zilizo sokoni nyingi siyo 'pure' sine wave, so siyo rafiki kwa mshine zenye 'motor'
za pure sine wave bei zake zimechangamka, HII ni 500W pure sine wave Inverter
watts ya friza ni ngapi mkuuMkuu nahitaji 1000watt pure sine wave
Mkuu friza la lita 230 la umeme wa ac unahisi litakuwa watu ngapi sio mjuzi wa hii mambo sanawatts ya friza ni ngapi mkuu
Mkuu kuhusu matumizi ni friza pekee hamna vitu vingine kuhusu watts za friza sijui maana sio mtalamu sana ila pia unaweza kukadilia nachotaka ni formula unawezaje kujua bettry ya ukubwa gani ili itusaidie kufanya vitu vya uhakikaSkia ilo freezer lako lina watt ngp n yapo mangp Pia unataka uo umeme utumie vitu vp n VP n vina watt ngp
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Sasa Mkuu we unataka kufanya ile kitu wazazi waga wanafanya wanapotaka kumnunulia nguo kijana wao, wanataja umri wa mtoto ili muuzaji akadilie size ya nguo inayomtosha ilhali Kuna watu wazima Wana maumbo madogo na Kuna machalii wana maumbo makubwaMkuu kuhusu matumizi ni friza pekee hamna vitu vingine kuhusu watts za friza sijui maana sio mtalamu sana ila pia unaweza kukadilia nachotaka ni formula unawezaje kujua bettry ya ukubwa gani ili itusaidie kufanya vitu vya uhakika