zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,216
Hiyo imepungukiwa na nguvu ya injini
Ili kuhakiki tatizo inabidi umpe fundi ajaribu kuendesha kwanza. Hapo ataelewa kama issue ni gear boksi ama clutch.
Mimi ni fundi naomba nipewe hiyo kazi, Ila isiwe ni kimeo ikaja kunichosha akili na kuniumiza bure!!
Nimenunua ka vitara ka kutembea na Ma wife arabela lakini haka kagali kana nishangaza eti Kwenye MLIMA kanapandisha ila kushusha kwenye mlima haitaki hata uweke free...
..hi gari yaniumiza kichwa..
Mh hili gari kweli au?
ni gari tena Vitara short chasis....heheh