Msaada: waliosoma nje ya Bongo

Poise

JF-Expert Member
May 31, 2016
7,633
7,907
Habri, JF.

Naomba kujuzwa kuhusu waliosoma nje ya Bongo hasa elimu ya juu kuanzia shahada hadi uzamivu, mlipohitimu vyeti vyenu vya huko nje mlivipeleka ofisi/ mamlaka ipi ili kutambulika na nchi yetu Tanzania na taratibu zake ni zipi?

Maana pana Binti yangu, anarudi hapo bongo (Kutoka New Zealand) sasa sijaelewa mamalaka inayohusika na kuvifanyia vyeti vya nje ulinganifu na ni vitu gani / viambatanisho labda na gharama zake kabla ya kuomba kufanyiwa ulinganifu huo na mamlaka husika.


Asante kwa msaada..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom