Mkuu hapo umesema koz clone nyingi ndio zina hizo features alizotaja ila kwa samsung original sio rahisi kwa kwelikwanza inaonesha hiyo simu sio original yaani ni clone/image/copy. ila pia kuna baadhi ya simu original ambazo haziRun ussd code lakini sio kwa samsung original.
kuna baadhi ya simu haziRun kabisa ussd na zingine zinaRun lakini zinaleta error kila mara na zingine zinaRun ussd code lakini zinakuletea lugha ambayo haieleweki. So hiyo ni ishu ya simu husika na wala sio settings