New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,310
- 2,424
Wakuu nimefanikiwa kuroot simu yangu tecno h6 kwa sasa naweza kubadili font xa maandishi niipendayo ila shida yangu nataka kubadili pia muonekano wa pale juu kwenye battery saa na bars za network pawe na style ingine nifanyeje