msaada wakuu

sakapambo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2015
Posts
502
Reaction score
150
habari za majukumu wakuu.
samahani naomba mnisaidie jinsi ya kuhamisha majina yaliyo kwenye laini kwenda kwenye simu, nataka nibadilishe laini ila contact nibaki nazo. simu ni android.
 
Nenda playstore search contact backup au search hata csv halafu download app yake then backup contact zote.

Toa line then eka line unayotaka restore contact zako toka kwenye ile app.
 
Nenda playstore search contact backup au search hata csv halafu download app yake then backup contact zote.

Toa line then eka line unayotaka restore contact zako toka kwenye ile app.

ahsante mkuu, hata mi imenisaidia
 
habari za majukumu wakuu.
samahani naomba mnisaidie jinsi ya kuhamisha majina yaliyo kwenye laini kwenda kwenye simu, nataka nibadilishe laini ila contact nibaki nazo. simu ni android.

Ingia kwenye contacts app, tap kwenye options halafu chagua import contacts, baada ya hapo chagua import from sim storage. Halafu chagua contacts zote za kuhamisha. Then contacts zako zote za kwenye SIM Card zitahamia kwenye storage ya simu. Na kwa kuwa unatumia Android ni vema zaidi kwa kuwa zinapokuwa zimehifadhiwa kwenye phone storage zitafanyiwa backup moja kwa moja kwenda kwenye Google Account yako, incase ukapoteza, ukarestore au kununua android mpya basi contacts zitarudi kutoka kwenye Google Account yako.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ are u that dumb...even my grandma can do such
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…