Msaada wakuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wakuu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by STREET SMART, Jul 9, 2010.

 1. STREET SMART

  STREET SMART JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2010
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 666
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  Habari

  nna shida sana ya kuwasiliana na mtu ambae ameshawahi kulima ufuta (sesame). Au kama kuna thread iliwahi kuandikwa basi nisaidieni niipate, ni muhimu sana. Kuna ka project natarajia kukaanza soon, so nahitaji msaada wa mawazo pls.
   
Loading...