msaada wakuu!!

msaada wakuu!!

kama hapo mmekwama nielekeze pakumtoa bush.a mtu ati.
sasa huko unakoenda huko!!!!!Mungu hapendi na usilipe baya kwa baya!!hebu piga magoti umuombe mungu wako akupe moyo wa uvumilivu na amsamehe mkosaji!!!ila ukiipata hiyo ya kutia bush.a na mimi nigawie!!!
 
mkuu wa IT hawavimbishi tumbo!!ila pole
Hakuna cha IT wala telecom kwenye suala hilo, hapo lazima uende kwa wamiliki wa mitandao ya simu then waambie wakusaidie kutres namba hiyo hata hivo watakuambia kuwa namba hiyo muda flani ilipigiwa mnara flan ambao upo sehemu flan that is all they can assist lakini ndugu kupata mtu wa kukufanyia kazi hiyo sio rahisi kama unavofikiria maana ni risk, kama huamini waulize gazeti la Mwanahalisi
 
sasa huko unakoenda huko!!!!!Mungu hapendi na usilipe baya kwa baya!!hebu piga magoti umuombe mungu wako akupe moyo wa uvumilivu na amsamehe mkosaji!!!ila ukiipata hiyo ya kutia bush.a na mimi nigawie!!!

kumbe tupo wengi tunaohitaji hii huduma ya kumtoa mtu bush.a ee!
 
kumbe tupo wengi tunaohitaji hii huduma ya kumtoa mtu bush.a ee!
mkuu ukinipa mi nitaitunza nisubiri wakinifanyia uhuni kama huo sitakuja tena huku kwenye jukwaa,moja kwa moja nachukua action!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom