msaada wakuu!!

msaada wakuu!!

Triple A

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
766
Reaction score
148
ni namna gani naweza kumjua mahali mtu alipo kwa kutumia namba yake ya simu bila kumpigia! Naombeni msaada wenu wakuu. Hata kama niyakulipia online. Please wakuu ninashida sana.
 
mm natumia cm ya sonyericson mini,anroid.
 
jamani mpaka niwaambie yaliyonikuta ndo mnisaidie?
 
jamani nimetapeliwa mwenzenu khaaaa! Dah.
 
kumbe umetaeliwa nilijua unataka fanya fumanizi,nenda tcra au tigo,zantel,airtel kulingana na mtandao wako.
 
kumbe umetaeliwa nilijua unataka fanya fumanizi,nenda tcra au tigo,zantel,airtel kulingana na mtandao wako.
nimeenda kampun ya cm lkn ushirikiano wao ni mdogo ndo maana kama kuna aplication ya kudownload ningefanya hivyo
 
kuna vichwa huwa naviamini humu lkn hapa naona wamegonga mwamba duh, pesa yangu imeenda hivi hivi.
 
haya basi kama kuna anayefaham namna ya kumfanya avimbe hata tumbo anisaidie.
 
amezima na cm kabisa sasahivi, namalizilia mwaka vibaya mm loh.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom