Msaada wakuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wakuu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mbimbinho, Aug 10, 2012.

 1. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,868
  Trophy Points: 280
  Poleni na majukumu wakuu.

  Ndugu zangu, naombeni msaada wenu. Nina mdogo wangu alipata field sehemu flani lakini ghafla jamaa wakaja kucancel na kusema hawatachukua watu wa field this year.

  Tumekuwa tukihangaika kumtafutia field lakini imekuwa ngumu, ni zaidi ya mwezi sasa yupo home.
  Yeye anachukua Public Administration and Political Science. I real need your help.

  Asanteni.

  Mbimbinho(MOD)
   
 2. M

  Mfukunyuzi Senior Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nenda wizara ya mambo ya nje watamsaidia coz wanatafuta hao wa2
   
Loading...