Msaada wakuu

Msaada wakuu

usiniguse

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
1,725
Reaction score
1,194
Ndugu habari za mwisho wa mwaka.
Nimetumia doc(picha) kwenye whatsap nikmthibitishia aliyetuma kuwa nimezipata,lakini nilikuwa bize na majukumu kwa kipindi hicho.Leo nimejaribu kuzifungua hazifunguki nahisi alizifuta baada ya kumwambia nimezipata.Nimemuuliza kasema faili hanalo tena,naomba msaada kama kuna jinsi ya kubackup.Naziona kunako whatsap lakini hazifungui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie iliekutumia aende kwenye file manager then fuata hii directory

Whatsapp >whatsapp document>sent

Hapo atakuta document zote alizowahi kutuma..so atapekua document husika kisha atakutumia tena

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Back
Top Bottom