Msaada wakuu..!!

huyu bwana mara nyingi stori zake ni za kufikirika hazina uhalisia...nyie chunguzeni.:twitch:

1000000000000000%
Wewe ndio JF Member of my Valentine Day
:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up:
 
Hadithi za leo nzuri sana!
 
Hadithi za leo nzuri sana!

Pole mkuu...Kwani na wewe umestuka kuwa zimekuwa too fictious?

Lakini wakati mwingine ni muhimu kuchangamsha jamvi ili lisipooze, ukizingatia hata via mobile sasa hivi hakuna, watu wako kwenye mambo ya RED!
 
Mimi mbona naona dakika 30 - 45 ndo kawaida/ muda murawa wa shughuli!
kwa maana hiyo unapiga bao moja moja....monday to friday....halafu bao mbili mbili weekend....tatizo hapo nafikiri lipo kwa partner....naona hapendi mchezo...akamwone daktari atapewa dawa!....testesterone patches kuongeza hamu!!!
 
Wewe inawezekana umeshatumia dawa ndiyo maana sasa hali imekuwa mbaya zaidi. Yaani unasugua dk 45 ndiyo ufike golini!! No, this is too much!! Hapa lazima umechakachua mwili wako kupita kiasi. Kama ni kweli, solution ni kupata mdada 'mhamasishaji' kwa macho na matendo ili angalau uwe unapiga bao ndani ya dk 10. Vinginevyo, mwanamke hata awe malaya hawezi kuvumilia dk zote 45.
 
Naona hujamwelewa. ST PM anaongelea hadi mabao 2 siku za kawaid na 4 week end na yote ya dak 45. Kwa hiyo atakuwa anatumia zaidi ya masaa 3 siku za kawaida na 4 - 6 au zaidi kwenye haya mambo siku za week end???????? Kwa hiyo huyu jamaa mke wake watakuwa anaingia ofisini kuanzia saa 4 kama wanaishi Dar!!
 
Kama ni wale wadada wa Joly Club na mitaa ya namna hiyo itabidi aachie dau lake na labda amlipe fidia ili amwache akatafute riziki. Kwa mwendo wa namna hiyo changu lazime apate hasara ya mwaka!!
 
Wewe!! this practicall is special for special students!! And for today is St. Paka Mweusi.
And you are not allowed to observe for we don't need an observer lol!!

Dah, haya bana...! Ila du! Ningependa kushuhudia, haki ya nani vile I will keep my mouth shut! I promise
 
Da,siku zote nimekuwa nikitafuta mtu wa aina yako na nashukuru umepatikana.nitafurahi ukiniPm maana mie hizo dakika hazinipi shida na kamwe sitokuwa na malalamiko.
Ni hivi mzee!yawezekana ulikuwa unafanya sana punyeto ndio maana hali kama hiyo ikajijenga.na kamwe haiwezi kupotea katika mazingira ya kawaida.ukweli hali ya kwenda dakika nyingi kama hizo huwa inamkera sana mtoto wa kike kwani raha ya mapenzi ni kuridhishana na sio kukomoana.

USHAURI wangu.
Tafuta mdada ambaye utamwamini na kupima ngoma ili uanze tiba ninayokushauri nyote mkiwa wazima kuepusha mengine.Jenga ukaribu na huyu mdada wa kuhakikisha unafanya nae mapenzi kavu mara nne au zaidi kwa wiki.pia katika hili,hakikisha unaenda raundi moja tu.fanya hivi kwa muda wa wiki tatu mfululizo then anza taratibu kupunguza siku moja na uwe unafanya kwa siku tatu kwa wiki mabao mawili kila mchezo.endelea kupunguza taratibu hadi mabao matatu kwa kila mechi mara mbili kwa wiki.then endelea kawaida kwa jinsi utakavyojisikia kwani mwili wako utarudi katika hali ya kawaida.

N:B epuka kufanya mapenzi na wanawake tofauti tofauti kwani inaweza kukukata stimu katika tiba yako hii.all in al usisahau kuniPM yakhe!
 
Hii itakuwa promo, si ajabu umeshapata meseji mbili tatu kwenye PM toka kwa wadada! What a smart move! !
 
Dah, haya bana...! Ila du! Ningependa kushuhudia, haki ya nani vile I will keep my mouth shut! I promise

Kama na wewe unataka darasa useme mambo ya kuchungulia wenzio hapana sawa kijana sema ndio mwalimu.
 
Firstlady babu anakuita ukamkate kucha!! Amesema uende sasa hivi. Firstlady umesikiaaaaa!!!
 
Duu babu hii ni hatari, achague maisha ya utawa tu. Aimarishe usenti wake. Au unasema je babu. Manake naona hana wito wa ndoa kabisa. Binti wa watu si atakuwa amenunua utumwa babu yangu!!
 
Jaribu kwa wanawake tofauti tofauti inawezekana demu wako hana joto la kutosha au hajishughulishi kwenye mamboz
 
Duu babu hii ni hatari, achague maisha ya utawa tu. Aimarishe usenti wake. Au unasema je babu. Manake naona hana wito wa ndoa kabisa. Binti wa watu si atakuwa amenunua utumwa babu yangu!!

Ndo maana hii ni hadithi tu kama zile za Alifulela olela, miaka alfu na moja...Hivi ulishazisikia?
 
Ndo maana hii ni hadithi tu kama zile za Alifulela olela, miaka alfu na moja...Hivi ulishazisikia?

Babu hizi hujawahi kuniadithia inabidi ufanye hivo kabla hujazeeka zaidi babu!! Halafu karibu chai!!
 
Duu babu hii ni hatari, achague maisha ya utawa tu. Aimarishe usenti wake. Au unasema je babu. Manake naona hana wito wa ndoa kabisa. Binti wa watu si atakuwa amenunua utumwa babu yangu!!

Mara umeshaahirisha kumpeleka lab..
 
PM, kwani umeambiwa haya mambo ni sawa na kusaga kokoto?

huyu bwana mara nyingi stori zake ni za kufikirika hazina uhalisia...nyie chunguzeni.:twitch:

Kweli hata wewe umeona ehhhhhhhh... Hizi ni fictions tu!

Hadithi za leo nzuri sana!

Pole mkuu...Kwani na wewe umestuka kuwa zimekuwa too fictious?

Lakini wakati mwingine ni muhimu kuchangamsha jamvi ili lisipooze, ukizingatia hata via mobile sasa hivi hakuna, watu wako kwenye mambo ya RED!

Ndo maana hii ni hadithi tu kama zile za Alifulela olela, miaka alfu na moja...Hivi ulishazisikia?

Nashindwa kuelewa kinachowafanya msiamini na kuona hii ni stori ya kufikirika,hamuoni kuwa kuna members wengine nao wanajitokeza wenye hali kama yangu?Mkubali tu kuwa binadamu tumeumbwa tofauti,na hatuwezi kufanana na nimeamua kuwa open ili niweze kusaidiwa lakini naona hili si tatizo kama ninavyofikiria.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…