This is not fair! Hakika ni ngumu kumeza hii! Kama ndo ukweli sina budi kukubaliana nao, lakn why mashulen vipimo vya METRIC vipewe kipaumbele wakat uraian vinatumika vya EMPERIAL? Hakika nafsi yangu itachukua muda kulikubali hili! Kwa vipimo hivi (acre, foot, yard, pounds, ounce, etc) wengi tutaibiwa! Ahsanteni.
Yuko sahihi, ekari moja ni 70 × 70 sq. M.
Kwa mazoea ekari inapimwa hatua 70×70. Maana yake halisi ni kwamba inakadiriwa hatua ya mtu mzima ni futi 3 yaani yadi moja. Kwa wenye simu za android mnaweza kutumia apk ya "area measure" ambayo ni free, kuhakiki maeneo. Apk hii inatumia GPS na unaweza kupima kwa eka au hekta.
umeingia chaka mbaya.Nilichogundua kwenye hii mada ni kwamba vijana wa siku hizi kwenye vipimo mko sifuri kabisa, sijui huko kwenye shule zenu za kata mnafundishwaje kuhusu vipimo. Haya mambo tulikuwa tunayajua tangu tuko shule za msingi miaka hiyo ya '80! Sasa hapa utakuta mtu amesoma chuo kikuu lakini hajui vipimo, jamani hii ni haki kweli? Kwa ufupi ekari ni mita 70 kwa 70 na hekta ni mita 100 kwa 100 (yaani 4900 msq na 10,000 msq), hivi ndo vipimo tulivyovijua tangu zamani. Hata kwenye hesabu za kujua plant population iwe kwenye ekari au hekta ndivyo vipimo vinavyotumika. hatujawahi kutumia vipimo vya 4046 msq!
Nilichogundua kwenye hii mada ni kwamba vijana wa siku hizi kwenye vipimo mko sifuri kabisa, sijui huko kwenye shule zenu za kata mnafundishwaje kuhusu vipimo. Haya mambo tulikuwa tunayajua tangu tuko shule za msingi miaka hiyo ya '80! Sasa hapa utakuta mtu amesoma chuo kikuu lakini hajui vipimo, jamani hii ni haki kweli? Kwa ufupi ekari ni mita 70 kwa 70 na hekta ni mita 100 kwa 100 (yaani 4900 msq na 10,000 msq), hivi ndo vipimo tulivyovijua tangu zamani. Hata kwenye hesabu za kujua plant population iwe kwenye ekari au hekta ndivyo vipimo vinavyotumika. hatujawahi kutumia vipimo vya 4046 msq!
Mkuu unapotosha uma. Hiyo 70 kwa 35 ni kama nusu heka tu. Kipimo sahihi ni 4046sqm sasa ukitaka kupata vipimo vya urefu wa pande zote na ukiona lazima 70 iwepo basi weka 70m x 57.8m. Kuondoa usumbumbufu nawashauri wakulima wapime 70 kwa kwa 58. Ila kwa wanaopima kwakutumia hatua za miguu ni bora wakapima hatua 70 kwa 65.Soma hapo kwenye Vipimo vya Metriki. Kimsingi,70 kwa 70 ni hekta. Ekari ni 70 kwa 35.
BTW, Nini kiswahili sahihi cha maneno ''ACRE'' & ''HECTARE'' ? Mara tunasikia eka, heka, hekari, hektari, ekta, etc. so kiswahili sahihi ni ipi kwa maneno hayo mawili ya kiingereza ?
Swali la kimfumo wa elimu........why Metric and not Imperial?
Where is relevance?/ coheretion?
ekar lazima upate 4900metre square(4900m2) , haijalishi ina upana au urefu au umbo gani!
Inaweza kuwa 70m x 70m au 100m x 49m huo ni mfano
Mkuu naomba ufafanuzi namna ya kutumia hiyo Apk
Naomba tuwasiliane "kyarluta@gmail.com"Kwa kuwasaidia kuna tofauti ya eka na hecta. Eka sana sana ni vipimo vya kiingereza " imperial system" ambayo in yadi 70 x 70 = 4900. Yadi moja ni futi 3. Futi moja ni sentimeta 30 na meta moja ni sentimenta 100. Hizi zinaitwa metric system. Hecta moja in meta 100×100. Kwa ufupi ukitaka kubadili eka kuwa hekta gawanya kwa 2.5 and vice versa.
Nilitumia mtu kununua shamba la ekar 30, akilin mwangu nilifikiri nimepata shamba lenye urefu wa meta 1000 na upana wa meta 300 kwa kipimo cha ekar moja ni meta 100 kwa meta 100! Lakn shamba ninalooneshwa ni urefu meta 700 na upana meta 210 kwamba kipimo cha ekar moja ni meta 70 kwa meta 70!? Je ni kweli ekar moja ni 70m¤70m na sio 100m¤100m? Msaada tafadhali!
Ndugu yangu,mambo ya vipimo huwa yanabadilika kutokana na nyakati,matharani vipimo vya Yard vilikuwa ni vya zamani sana lkn sasa tunaenda kwa mita,pale tunapopima urefu.Ukija kwenye ishu ya eneo nijuavyo mimi Ekari moja ni metre square 4000,Wakati hekta moja ni metre square 10,000;Ambapo tunasema hekta moja ni sawa na ekari mbili na nusu.Nilichogundua kwenye hii mada ni kwamba vijana wa siku hizi kwenye vipimo mko sifuri kabisa, sijui huko kwenye shule zenu za kata mnafundishwaje kuhusu vipimo. Haya mambo tulikuwa tunayajua tangu tuko shule za msingi miaka hiyo ya '80! Sasa hapa utakuta mtu amesoma chuo kikuu lakini hajui vipimo, jamani hii ni haki kweli? Kwa ufupi ekari ni mita 70 kwa 70 na hekta ni mita 100 kwa 100 (yaani 4900 msq na 10,000 msq), hivi ndo vipimo tulivyovijua tangu zamani. Hata kwenye hesabu za kujua plant population iwe kwenye ekari au hekta ndivyo vipimo vinavyotumika. hatujawahi kutumia vipimo vya 4046 msq!