Second Fiddle
JF-Expert Member
- Dec 9, 2014
- 469
- 122
Nilitumia mtu kununua shamba la ekar 30, akilin mwangu nilifikiri nimepata shamba lenye urefu wa meta 1000 na upana wa meta 300 kwa kipimo cha ekar moja ni meta 100 kwa meta 100! Lakn shamba ninalooneshwa ni urefu meta 700 na upana meta 210 kwamba kipimo cha ekar moja ni meta 70 kwa meta 70!? Je ni kweli ekar moja ni 70m¤70m na sio 100m¤100m? Msaada tafadhali!