Melki the Storyteller
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 5,699
- 9,777
Dah!
Simu ambayo inajaa kwa muda wa dakika tatu tu, chaji yake inakaa mwezi mzima kwa mtumiaji atakayekuwa online kwa masaa 12 ya siku nzima! Mwonekano wake wa kuvutia, audibility range yenye uwezo wa ku detect hata mazungumzo ya chini kabisa, speaker yenye usikivu tulivu, imara na hata isiweze kupasuka kioo chake ikidondoshwa umbali wa mita 3 kutoka juu kwenda sakafuni!
Display yake ni ya kuvutia na angavu, yenye ku modify programmes na mwonekano wa apps, kioo sensitive hata kidole kiwe 1 mm juu ya kioo, kudetect earphone hata kama iko disconnected 10 cm from the phone, voice unlock hata kama utaiongelesha kwa sauti ya kunong'oneza, selfie camera 3, moja kati mbili pembezoni, dual camera tano, flash light mbele na nyuma yenye mwanga wa ring light, double octa core processor, ikiingia kwenye maji within 5 min inatoka nzima na uzima wake.
Camera zake zina uwezo mara tatu ya uwezo wa jicho la binadamu, body detection, hata kama itashikwa na mtu mwingine itapiga alarm mpaka basi! Simu nyepesi, inakuja na smart Net ambayo ni social media ya kuwaunganisha watumiaji wa simu ya aina hiyo kushirikishana mawazo tofauti.
Gharama yake ni rafiki! Inakuja na uwezo wa Super G+, sms unazungumza tu yenyewe inatype offline tena kwa lugha ya kiswahili, ina detect phone numbers za mtu ambaye umesimama nae au umekaa naye karibu, ina detect hata umri wa mtu kwa ku scan uso wake, inafanya body disease diagnosis kwa kuigusisha kifuani kwa mgonjwa na ika display majibu, ina detect level ya usingizi, uchovu n.k. Kama ni mwenye simu unapoitazama tu hata kama ikiwa screen off inawaka yenyewe na kuji unlock
Ninachoamini katika dunia hii, hakuna jambo lisilowezekana, kikubwa ni juhudi, malengo na ndoto za mafanikio! Naimani ipo siku nitatengeneza simu kama hiyo, kikubwa dua tu na uzima!
Mniombee, katika safari yangu ya shahada ya electronic engineering