Msaada wakuu,Nimerogwa na mpenzi

Mimi sina cha kukushauri kwanza wewe umejuaje km ni yeye ndie aliekuroga au alikupa taarifa wakati anaenda kukuroga umejuaje ulimkuta seheemu akiwa anakuroga umejuaje km ni yeye ndie kasababisha na sio wewe mweenyewe na saikolojia yako ya kuokotaokota wanawake wa kwenye njia na kutaka kulala nao?

Anzia hapo alikuutarifu kabla ya kwenda kukupiga komeo sasa wewe ukaenda kuokota kimchepuko chako ili ukajaribu kuona je kweli uchawi upo uchawi unafanya kazi au ni akili yako tu inakuambia? Ramli chonganishi ulienda kwa mganga ndie aliekwambia hivyo kua huyo mpenzi ulienae ndie aliekufunga ndio jibu ulilopewa una uhakika?

Mimi sina cha kukushauri mpaka unipe kwanza majibu ya hayo maswali
 
ulishawahi kuapply kwa mkeo ? maana wew ni mtaalamu
How it works?
 
Na wewe kamroge, akigongwa na mwingine mashine inasie ndani mkuu.

Hii itakusaidia kuokoa uchumi wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…