Kampuni za kufanya field practice za Plumbing

kilama

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
2,655
1,766
Wakuu habarini za muda!

Mimi ni mwanafunzi wa VETA katika short course/kozi fupi ya mifumo ya bomba/plumbing. Nimepata changamoto ya kupata nafasi ya kufanya masomo kwa vitendo.

Naombeni msaada wa kupata nafasi katika kampuni za plumbing kama itapendeza kwa Mwanza, Dar na Arusha.

Ninaomba msaada wa nafasi ya kufanya field practice katika kozi ya plumbing.
 
Note: Mods naomba uzi wangu msiuhamishe kwenda jukwaa lingine natumaini huku nitapata msaada.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom