Mtoto wa Baba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,121
- 4,017
Nimeona nije huku kwa great thinkers Huenda nikapata mawazo mawili matatu.
Mtoto wangu wa mwaka na miezi mitano anaharisha na kutapika leo ni siku ya Tatu. Anapata choo chenye rangi ya njano hivi na ambacho ni maji maji sana. Alivyoanza hiyo juz nilimpeleka hospital akapimwa typhoid hakuwz nayo. Tulishindwa kupata choo chake na mkojo hivyo haikuwezekana kupimwa choo.. doctor akaniandikia tu dawa akaniambia ni kwa ajili ya tumbo na kuzuia kutapika.
Sasa tangu nimeanza kumpa dawa sion mabadiliko, bado mtoto anatapika tu na kuharisha. Halafu pia hana humu ya kula lakin tumbo lake limejaa Muda wote kama vile ameshiba sana. Hata akienda choo halipungui.
Naombeni msaada kwa anayefahamu dawa hata kama ni ya kienyeji, aniambie tu, unaweza nipa mawazo mapya pia, ushauri nifanyeje maana mwanangu amechoka sana. Maji ya kunywa anakunywa mengi tu na kunyonya pia ananyonya vizuri. Mniwie Radhi kama uandishi wangu ni mbovu, nimeandika haraka haraka sana
Ahsanteni.