Msaada wakuu, mimba ya mke wangu inatuvuruga

Vumilia tu hapo bao lako ndio linakusumbua wenzio tulikuwa tunaamshwa saa 8 ucku mtu anataka chips za eddy
Hahaaaa yote tisa ila kumi ni hii kuamshwa tena kwa kutingishwa kwama ugomvi ukanunue chips au Maji ya baridi,nikimwambia maji si yapo kwenye jokofu anaanza kulia eti nina roho mbaya sana sitaki kumpa anachotaka hadi unaamua kuvaa vest na kuanza kukata mitaa kutafuta anachokitaka hata kama ni usiku wa manane.
 
Hayo ni mambo ya kawaida sana kwa wajawazito hasa hasa ikiwa mimba ya mtoto wa kiume,
Kumbuka wakati anaoupitia yeye ni mgumu kuliko unaopitia ww so unapaswa kuvumilia sio kumrudisha kwao.
Tumia Internet utapata vingi kuhusu mimba itawasaidia sana
 
Hahaaaa yote tisa ila kumi ni hii kuamshwa tena kwa kutingishwa kwama ugomvi ukanunue chips au Maji ya baridi,nikimwambia maji si yapo kwenye jokofu anaanza kulia eti nina roho mbaya sana sitaki kumpa anachotaka hadi unaamua kuvaa vest na kuanza kukata mitaa kutafuta anachokitaka hata kama ni usiku wa manane.
[emoji23][emoji23][emoji23]

Mimba nyingine bana
 
Ni kawaida, vumilia tu baada ya miezi tisa kila kitu kitakuwa sawa
 
IMEBID NICHEKE TU,HAPO BADO MKUU SUBIR MIEZ YA 7-9 UTACHEZEA NA VIBAO...WELCOME TO THE CLUB
 
Maajabu ni kwamba wanaojazwa mimba na kutelekezwa makwao hawanaga hizi mbwembwe za kuagiza watu chipsi au mihogo usiku wa manane.Naamini huwa ni usanii tu hormones zinasingiziwa.Ukitelekezwa na hormones hazitoki au?
Hii hata mimi nilishasema ni chenga. Kuna usumbufu unaokubalika ila drama mshenzi hutakiwi kuzikubali kabisa
 
nilitoka usiku mnono kwenda kutafuta kuku wa kupaka pale livingstone kwa masawe,,, tunaishi sinza miaka ya 2000---,,, nikamleta....kufikisha naambiwa nimechelewa wapi, kwanza unanuka jasho, mweke hapo ntamla baadae....nikalala sebuleni......asubuhi naambiwa nilichepuka usiku,...nilichoka bro...so we vumilia braza ndo utamu wa lile goli....
 
Duuu unaweza chemka
 
heshim yako kiongozi..sisi amba o hatujaoa hapo tutasema asilete zake namkazia kinoma....sijui ulivumiliaje aisee
 
hahahaa me kitimoto ya kuchoma ya toroka uje kiborironi Moshi sasa ole wako ulete ya seh nyingine anakupiga nayo usoni au uweke kachumbari bila ndimu anakususia au ulete iliyopoa? au siku usiwe na hela ya kununua hiyo kitimoto
😀😀😀😀😀😀 mimba hizi, halafu baadae anajua mtoto sio wako
 
Vumilia tu hapo bao lako ndio linakusumbua wenzio tulikuwa tunaamshwa saa 8 ucku mtu anataka chips za eddy
[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pale unapoamshwaa umpepee akati feni inawakaa...!
 
Hii hata mimi nilishasema ni chenga. Kuna usumbufu unaokubalika ila drama mshenzi hutakiwi kuzikubali kabisa
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha kukimbia majukumu..! kama upo nae atadekaa tuu....
 
Back
Top Bottom