Msaada wakuu, mimba ya mke wangu inatuvuruga

Msaada wakuu, mimba ya mke wangu inatuvuruga

Hiyo ndo tabia ya mkeo kawaida akipata mimba mwanamke vitabia vilivyojificha ndo hutokeza ulipenda kuoa

Ishi naye kwa akili ni dalili za wivu pinduki
 
Mbona wajawazito wengine hatakama harufu yako ni mbaya kwao hukwambia kwa nidhamu tu,
nafikiri wanawake wakomoaji na wasiyo na nidhamu hutumia mimba kama silaha ya kukomoa waume zao.

Kaza roho.
 
Binafsi hua nadhani wanawake hua wanajifanyisha tu; hiyo kitu anaweza kabisa ku control ila sema ndio hivyo!
 
Niliambiwa nataka sambusa usiku wa manene, namuuliza nitazipata wapi najibiwa utajua mwenyewe gafla mtu akaanza kulia ikabidi niingie jikoni sikuwahi kutengeneza sambusa ila ilibidi nifyatue kihuni.. nikatengeneza 4 ile namkaribisha akasema hataki sambusa tena, nilichoka ila kufika asubuhi kabla hata hajaswaki akanambia nimpe sambusa zake akazigonga zote.
Vumilia mkuu miezi 3 ya mwanzo na miezi ya mwishoni huwa wana shida hawa viumbe
 
Mbona wajawazito wengine hatakama harufu yako ni mbaya kwao hukwambia kwa nidhamu tu,
nafikiri wanawake wakomoaji na wasiyo na nidhamu hutumia mimba kama silaha ya kukomoa waume zao.

Kaza roho.

Hakuna mimba inayofanana na nyingine

Wacha kucompare
 
Back
Top Bottom