jamani wakuu nimeachiwa Dish dogo la Gold star sijui ni futi ngapi ila ninalizidi kidogo la zuku sasa nimepewa na receiver ya G.TV ivi kweli inaweza kufanya kazi ya kukamata hata channel za aina nyingine maana nasikia G.TV walisha fungiwa
japo siwajui hawa G.TV na receiver yao siijui na hata kwa ku-google sijawapata ila in short ni kwamba Receiver nyingi za PAY TV hauwezi zitumia kuangalia FTA za satellite nyingine...
We chakufanya ka-observe kama kuna satellite zaidi ya moja ndani ya receiver au kama kuna option ya ADD new sat
Kama unataka kufaidi digital nunua receiver ya fta tena iwe ya mpeg4 inayo edit biass keys. G. sport receiver zilikua special kwa G. Sport pekee ingawa kuna watu huwa wanaifanyia utundu ili kushika fta za kawaida ila bado haifai ktk ulimwengu wa sasa maana ni mpeg2.
ok thank you je kuhusu dish hakuna tatizo?
Dish kwa KU Band linatosha labda kama unataka na C Band, hapo utahitaji dish la ft 6 au ft8.
kwa hilo dishi naweza kupata chanel za aina gani na kwa kutumia receiver gani maana la C Band ninalo ft6 nakamata za Tz na Za kiarabu pia na ku band mbili ya citizen, k24 na nyingie ya kina emanueli tv, my tv promo, muvi tv na nyingine nyingi za dini na linaangalia east
Inategeme unataka channels pani ila kwa sasa wengi wanapendelea hapa FlySat Amos 5 @ 17° East kama una receiver ya mpeg4 itakufaa.