D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,728
- 4,181
Samahani wakuu naombeni mnisaidie jinsi gani naconnect maana inaniandikia DNS initialization fail naamini kupitia kwenu nitafanikiwa
Unatumia usafiri gani boss?Mwl.RCT
usafiri kivipi mkuu?Unatumia usafiri gani boss?
Maana nijuavyo hiyo kitu imefungiwa njia zote
Kumbe wewe ni mgeni wa hizo mambo yaani hata lugha tunayotumia huijui so why wadau wamekupotezea kiainausafiri kivipi mkuu?
Chief hausiki na hizo mambo siku hizi
Kuna tapeli anajiita the great wizard anauza setting za Your freedom but hasemi wazi kitu ni konokoño kinyama.Mzee ukipata maelekezo nistue..
Kuna tapeli anajiita the great wizard anauza setting za Your freedom but hasemi wazi kitu ni DNS ile ya Mobile Version,yaani konokoño kinyama.Alikuizia hiyo account mwambie akuelekeze jinsi ya kuconect au kakutaperi
Hahahah anauza shiling ngapi...Kuna tapeli anajiita the great wizard anauza setting za Your freedom but hasemi wazi kitu ni konokoño kinyama.
Kama shida ni kubrowser na kuchat whatsap sawa ila wazee wa kustream na kushusha mizigo usilogeke kuingia anga zake
15K Kwa mwezi kwa maana kwamba setting ni 10K na 5K ni kwaajili ya Account ya YFHahahah anauza shiling ngapi...
umetaja hii kitu natamani nitapikeRoyal bundle ya Halotel
Vipi ni full konokono 🐌 ?umetaja hii kitu natamani nitapike