Paul Kijoka
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 1,399
- 255
Ile IDM patch/cracks niliyopata humu imekamatwa na sasa nkitaka kudownload naambiwa kuwa ilikuwa registered with a fake key. Naomba msaada tena maana natafuta kwenye posit zangu sioni tena.
Ile IDM patch/cracks niliyopata humu imekamatwa na sasa nkitaka kudownload naambiwa kuwa ilikuwa registered with a fake key. Naomba msaada tena maana natafuta kwenye posit zangu sioni tena.
Tafuta un installer inayo un install kila kitu mfano revo un-installer
Install upya idm then open revo chagua ku unistall itapop up box itakayokuuliza aina ya ku uninstall chagua full ambayo itatoa kila kitu
Mkuu hiyo itakuwa yakutumia kwa siku 30 tu!!!!!!!!!!
Thanks kaka. Ngoja nijaribu kuichukua maana nimekuta video ya maelezo hayo.Fungua {Khurramssoftwares.Blogspot.com} wanayo ya free kabisa←