MSAADA WAKUU: IDM (Internet Download Manager), niliyopata PATCH/ Crack, imekamatwa!!!!!

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
1,399
255
Ile IDM patch/cracks niliyopata humu imekamatwa na sasa nkitaka kudownload naambiwa kuwa ilikuwa registered with a fake key. Naomba msaada tena maana natafuta kwenye posit zangu sioni tena.
 
Tafuta un installer inayo un install kila kitu mfano revo un-installer

Install upya idm then open revo chagua ku unistall itapop up box itakayokuuliza aina ya ku uninstall chagua full ambayo itatoa kila kitu
 
Mkuu hiyo itakuwa yakutumia kwa siku 30 tu!!!!!!!!!!
 
ipo pia dam download accelerator manager ambayo ni bure niliwah ipost sema wadau walicriticise sana
 
Back
Top Bottom