Msaada: Wakuu hivi elimu ya Uandishi wa Habari ikoje kwa sasa?

medsebapol

JF-Expert Member
Jul 16, 2015
327
225
Wakuu naombeni kueleweshwa kwa wale wenye uelewa na wanaosomea, waliosomea uandishi wa habari pia na utangazaji kwenye station mbalimbali. Soko la tasnia hii likoje hapa Tanzania?

Natanguliza shukurani
 
Wakuu naombeni tu wale wenye uelewa na wanaosomea,waliosomea uandishi wa habar pia na utangazaji kwenye station mbalimbali soko la tasinia hii likoje apa Tanzania, natanguliza shukurani
KAMA UNApenda somea soko lipo kwa wenye elimu...mwenye elimu muda wowote anatoka...
 
Back
Top Bottom