Msaada wakuu -Genuine office?

Njaa

Njaa

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2009
Messages
979
Likes
236
Points
60
Njaa

Njaa

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2009
979 236 60
Wakuu naomba msaada hapa!!
Kwa muda wa mwaka mmoja sasa natumia window vista na Ms office 2007, ila mwezi wa december computer yangu ili-crash na nikaamua ku-reinstall window. Sasa kila niki-install office (2007) with the same keys (ile ile ya zamani), baada ya siku mbili napata message ya kwamba my office is not Genuine.

Nikajaribu ku-unistall office na ku-install tena nikiwa offline lakini nilipoweka tu kwenye net message ikarudi kuwa my office is not genuine. Sasa wana JF, naomba msaada ili nimkwepe Bill Gate kumpa hela yangu, nifanyeje? may be kuna automatic updates ambazo natakiwa kuzi-off, au jinsi nyingine ya kuinstall office, etc

Pia kwa mwenye keys ambazo ni Genuine please naomba msaada, unajua inatia aibu ukifungua office unakuta chata " office is not Genuine" Hawa jamaa wapo makini sana na ukusanyaji wa mapato.
 
Yona F. Maro

Yona F. Maro

R I P
Joined
Nov 2, 2006
Messages
4,235
Likes
52
Points
0
Yona F. Maro

Yona F. Maro

R I P
Joined Nov 2, 2006
4,235 52 0
Umeangalia majira kwenye kompyuta yako kama yako sawa ?
 
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2007
Messages
16,520
Likes
212
Points
160
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2007
16,520 212 160
Wewe bana huna genuine. Kama una uhakika unayo genuine, tembelea website yao na wape details za manunuzi ya hiyo genuine na tatizo lako litatatuliwa within legality ya contract ya manunuzi ya hiyo software. Otherwise labda umekuja JF kwa wale 'wazee wa spana za mchina'. K'ribu.
 
Njaa

Njaa

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2009
Messages
979
Likes
236
Points
60
Njaa

Njaa

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2009
979 236 60
Wewe bana huna genuine. Kama una uhakika unayo genuine, tembelea website yao na wape details za manunuzi ya hiyo genuine na tatizo lako litatatuliwa within legality ya contract ya manunuzi ya hiyo software. Otherwise labda umekuja JF kwa wale 'wazee wa spana za mchina'. K'ribu.
Habari ndo hiyo, hii ambayo ninayo nilipata kutoka chuoni, ambapo nilikuwa naamini kuwa chuo hakiwezi kuwa na kitu feki, pia kwa mwaka wote wa kwanza nilikuwa sijakamtwa online. kwa hiyo wazee wa spana msaada kwenye tuta
 
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2007
Messages
16,520
Likes
212
Points
160
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2007
16,520 212 160
Habari ndo hiyo, hii ambayo ninayo nilipata kutoka chuoni, ambapo nilikuwa naamini kuwa chuo hakiwezi kuwa na kitu feki, pia kwa mwaka wote wa kwanza nilikuwa sijakamtwa online. kwa hiyo wazee wa spana msaada kwenye tuta
Ohh, I'm on fire. I will soon be Sheikh Yahya.

Tembelea hapa labda jamaa anafanya kazi kwa Bill Gates atakupiga tafu.
 
Forum statistics

Threads 1,251,853
Members 481,915
Posts 29,787,695