Msaada wakubwa

Msaada wakubwa

Chinduli

New Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
3
Reaction score
0
naombeni mnisaidie nikiweka window7 kweny pc yang nakutana na tatizo la sauti haitoki, nifanyeje kupata sauti?
 
yah tafuta driver ya sauti,au taja aina ya mashine yako na details zote tukupe link ya kudownload mkuu
 
Update hiyo windows , then itarudisha drivers zote zilizopotea!
 
ucjali bro jaribu kudownload hiyo driver,bt t mst be compatible to your pc
 
thanx wakuu!!!! nafanyia kaz ushauri wenu then ntarudisha feedbck
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom