Msaada wako unaitajika.....

nichangie

Member
Jan 8, 2012
6
0
''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''
 
pole sana nafikiri hii ni kazi ya serikali katika kusaidi watu kama awa kwa kutoa elimu ya juu bure, ila tuombe mora nitakupunguzia elfu ishirini japo aitosaidia
 
pole sanaaa, kuna baazi ya watu nawajua wanasoma nchini under japan embassy, so nitawauliza ili nipate kujua huo ndo msaada wangu kwako, nimejaribu iyo namba upatikani
 
Kwa hiyo hiyo ID umeianzisha leo maalumu kwa shughuli hiyo?
Ni'PM Jina lako halisi na details zakutosha ilinijue nikusaidiaje mdogo wangu.
 
Kwa hiyo hiyo ID umeianzisha leo maalumu kwa shughuli hiyo?
Ni'PM Jina lako halisi na details zakutosha ilinijue nikusaidiaje mdogo wangu.

nilichopenda hapa sio huo msaada utakaotoa ila huwa Moyo wa kuwa Tayari kusaidia!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom