Msaada wako mdau | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wako mdau

Discussion in 'JF Doctor' started by Luthar, Oct 12, 2012.

 1. L

  Luthar JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Habari za majukumu nimatumaini yangu mu wazima naomaeni kujuzwa jambo kwa mwenye hekima anijibu hivi ukitaka kumjua mwenzi wako kama anaujauzito utajuaje nilikutana naye kimwili tangu tarehe 19,9.2012 embu nijuzeni wataalamu ila mpaka sasa akuna dalili yeyote
   
 2. zethumb

  zethumb JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 606
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  kakwambia haja enda hedhi ya mwezi wa tisa?
   
 3. L

  Luthar JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Anasema ya mwisho ilikuwa tarehe 12.8.2012
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Kashanasa huyu miezi miwili hajaenda The Moon,vp anasikia kifuchefuche? Analalalala?
   
 5. L

  Luthar JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Mwezi ni wa tisa tarehe 12 Samahani nilikosea tarehe na kuhusu hakuna dalili yeyote
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  hebu andika kiufasaha :
  - tarehe yake ya mwisho ya kuingia mwezini ni lini
  - ulikutana nae lini
  -mzunguko wake una siku ngapi
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  hawezi kuwa na mimba....kama siku ya mwisho ilikuwa tar 12 na mkakutana tar 19.....hakuna mimba hapo.......leta circle yake hapa tukudadavulie......
   
 8. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  kwa nini msiende kupima?
   
 9. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Mi naomba nikuchagulie jina.. tehheh
   
 10. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Dogo ameshachanganyikiwa anajua mtu kanasa... Dogo andaa hela ya nepi, majukumu hayo yanagonga hodi...

  Naogopa kukwambua ukweli as utachanganyikiwa so acha nikudanganye tu hajanasa bado
   
 11. L

  Luthar JF-Expert Member

  #11
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  tarehe ya mwisho kuona hethi ni 12 mwezi wa tisa na anasema huwa anaonaga tarehe hizi
   
 12. L

  Luthar JF-Expert Member

  #12
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  ndiyo mwana fa tumwite nani?
   
 13. L

  Luthar JF-Expert Member

  #13
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  hakuna dalili yeyote mkuu
   
 14. L

  Luthar JF-Expert Member

  #14
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  baada ya wiki mbili nilienda kupima mkojo kukawa hakuna kitu
   
 15. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #15
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,344
  Likes Received: 2,679
  Trophy Points: 280
  Kulingana na jibu hilo hapo juu maana yake ni kwamba mkeo au hawarayo au demu wako nina wasiwasi huenda akawa na mimba au lah..

  Aliona hedhi : 12 - 9 - 2012
  Urimrenga mama bhoke: 19 - 9 - 2012
  Leo ni : 12 - 10 - 2012

  1. Naomba unieleze mkeo huwa ana mzunguko wa siku ngapi?
  2. Kabla haujamrenga mama bhoke(mkeo), je mkeo alikuwa katoka safari au kutumia vidonge vya kuzuia mimba?
  3. Kwa nini usimshauri mwenzio apime mkojo?
   
Loading...