Msaada wajuzi wa mambo wa Uturuki

Msaada wajuzi wa mambo wa Uturuki

Zee la madawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,728
Reaction score
4,076
Kwa wajuzi wa mambo ambao wameweza kuishi au kusoma au kwenda tu matembezini abroad hasa nchi ya Uturuki

Je mji mzuri wa kuishi ambao maisha yapo cheap kwenye nchi ya uturuki Izmir, Bursar, Ankara, Antalya, Istanbul na miji mingine upi mji mzuri kuishi?
 
Nimekaa Bursa na Adana kote kuko safi japo, Kwa Izmir, Istanbul na Antalya hiyo miji gharama za kuishi ziko juu kidogo kuanzia nyumba za kuishi, ukumbuke Antalya ni mji wa kitalii kwahiyo ni kama vile Zanzibar kwa gharama za kuishi. Kama unaenda kujitafuta nenda miji mingine kama Mersin, Gaziantep, Diyarbakir
 
Kwa wajuzi wa mambo ambao wameweza kuishi au kusoma au kwenda tu matembezini abroad hasa nchi ya Uturuki

Je mji mzuri wa kuishi ambao maisha yapo cheap kwenye nchi ya uturuki Izmir, Bursar, Ankara, Antalya, Istanbul na miji mingine upi mji mzuri kuishi?
Kama unataka mji cheap Kabisa nenda Hatay
Ipo karibu na Sryiria
İstanbul ukiwa na kazi na ukapata mtu wa kuishi nae Maisha kidg safi
Ila ukae wilaya za pembezoni mwa mji kama Sancaktepe na Sultanbeyli
 
Back
Top Bottom