Msaada wadau! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wadau!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mama Brian, Jun 19, 2010.

 1. Mama Brian

  Mama Brian JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2010
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 321
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tokea juzi najaribu kufungua document zangu zilizopo kwenye Micro Softword 2003 hazifunguki, power point inafunguka kama kawaida, sasa sijui ni virus au nini naomba msaada wa kitaalamu.
   
 2. valex

  valex Member

  #2
  Jun 19, 2010
  Joined: Jun 18, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  install nyingine ili utatue fasta tatizo hilo au jaribu kui up date kwa net
  valex
   
 3. Mama Brian

  Mama Brian JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2010
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 321
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asante Valex,nimeshajaribu kuuninstall then nikainstall upya lakini bado, kui up date kwa net valex unafanyaje? naweza kuidownload kwa google? au inakuwaje ndugu.
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Hazifunguki kivipi? Tupe details za error mesage usaidiwe vizuri.
   
 5. Mama Brian

  Mama Brian JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2010
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 321
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asante sana Valex your solution is perfect thank you so much be blessed! niliupdate kama ulivyonielekeza na zimeanza kufunguka sasa am very happy manake ningepoteza kazi zangu zote nilikuwa namashaka sana, thank you again!
   
 6. Mama Brian

  Mama Brian JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2010
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 321
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Cha kushangaza zaidi na wewe mwenyewe jina lako valex unamiliki hiyo updater nini? teh teh ok asante kwa mawazo yako mazuri.
   
Loading...