nina tablet ya kichina nikituma sms zinakwenda lakni mimi nikitumiwa sizipati
Nshawahi kutumia tab ya kichina inaitwa vtouch, ilinisumbua sana aisee, yaani nlimpata mtu nkamuuzia kwa sh elfu hamsini nkachekelea sana
Hiyo yako ilikuwa vtouch ilikusumbua vitu gani vile. Ni battery au network?
Na kuna hizi tablet za Xtouch nazo zikoje?