msaada wadau

msaada wadau

Kahesa Andrew

Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
82
Reaction score
35
niuninstall theme ya waterfall kwenye komputer yangu ya dell inayotumia window xp royale s3 baada ya ku uninstall display ikawa whitish in color na mpaka sasa nikiiwasha tu inakuwa hivyo hivyo tatizo linakuwa ni nn????????
 
change in desktop appearance theme kwenye control panel
ama system restore
au boot from lastknown good - after pressing F8
 
hao jamaa wa waterfall wapuuzi sana mpaka ununue hio soft hawana tofauti na malware wengine.

Washa computer yako na safe mode then restore computer yako kwenda siku za nyuma.
 
tatizo ni kwamba ukiiwasha tu screen inakuwa whitish in color so huwez kufanya restore
 
wakati ina boot press f8 and chagua option ya last good ....au itakupa options ...zitaje hapa.
Otherwise boot from winXp SP3 cd kama unafanya reinstall then fanya repair.
 
wakati ina boot press f8 and chagua option ya last good ....au itakupa options ...zitaje hapa.
Otherwise boot from winXp SP3 cd kama unafanya reinstall then fanya repair.

it doesnt shw anything cz anakuwa nyeupe tu few minutes baada ya kuwa on bro
 
it doesnt shw anything cz anakuwa nyeupe tu few minutes baada ya kuwa on bro

izime kabisa hata kama ni kwa force then fanya hivi:

1. Tafuta key imeandikwa F8 ipo kwa juu kabisa katikati

2. Jiandau kuibonyeza (weka kidole chako hapo kwenye F8)

3. washa tena computer yako. ile inaanza tu kuwaka kwa kuonesha hiyo logo ya Dell na kabla haijaanza kuload windows uwe unabonyeza F8. hapo utaona menu imetokea kama hautaiona basi rudia tena ikibidi uwe unabonyeza bonyeza F8

hiyo menu ina option nyingi. chagua Safe Mode inaweza kukusaidia then ukifika huko jaribu kufanya System Restore

NOTE: Mara nyingi inatokea hivyo kama umeinstall thirdparty theme bila kufanya Patching ya Original windows file. so tafuta Theme Patcher ili u-Patch kabla ya kuinstall themes
 
nimekuelewa vizuri sana bro ila tatizo ni kwamba screen inafubaa hata kabla ya logo ya dell haijatoweka xo inakuwa ngumu kufanya restore yan kama screen imekufa hivi
 
Back
Top Bottom