Bandazone santoS
Member
- Jan 23, 2020
- 14
- 12
App ya kublock namba ya simu. Ukimblock mtu asikupate hewani kabisa. Achana na hizo za magumashi! Ukimblock mtu simu inaita kidogo then unambiwa No ipo Bussy. NO.
Natumia SUMSUNG. Blacklist ipo,ndo kama hvyo nlivyosema! UkiBlock then mtu akijaribu kukupigia utaskia No bussy. Mi nahitaji ambayo Mtu hanipati kabisa..Simu yako aina gani? Haina blacklist
Natu
Natumia SUMSUNG. Blacklist ipo,ndo kama hvyo nlivyosema! UkiBlock then mtu akijaribu kukupigia utaskia No bussy. Mi nahitaji ambayo Mtu hanipati kabisa..
Lipa deni la watu kwanzaNatu
Natumia SUMSUNG. Blacklist ipo,ndo kama hvyo nlivyosema! UkiBlock then mtu akijaribu kukupigia utaskia No bussy. Mi nahitaji ambayo Mtu hanipati kabisa..