Msaada wadau, naomba kujuzwa app ya kublock namba ya simu

Jan 23, 2020
14
12
App ya kublock namba ya simu. Ukimblock mtu asikupate hewani kabisa. Achana na hizo za magumashi! Ukimblock mtu simu inaita kidogo then unambiwa No ipo Bussy. NO.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom