Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Nataka niweke kamera kwenye nyumba.. sasa nataka kujua bei zake ..kamera kama nne hizi ama tano kuzunguka nyumba .. Najua hapa nitapata msaada na gharama gani nitatumia
Young Master ndio hizo hizo .. Bei za hapa hapa nataka kujua gharama zake , ama hapa bongo hawana hizo service?
Huku Bongo zipo ila gharama zake zinaweza kutofautiana au kuwa ghali zaidi kwa sababu makampuni mengi ya huku huwa hawaziuzi tu hivi hivi bali huziuza pamoja na kukufanyia installation.
Mkuu nitaku-pm nikupatie maelezo na number za ndugu yangu mmoja,yeye anafanya kazi hizo,yuko na kampuny yake anauza na kunstall hayo mambo
Asante sana kijana .. Umenisaidia sana yaani mnazidi kunipa maujanjaunachosemea ni CCTV (Closed-circuit television) (CCTV is the use of video cameras to transmit a signal to a specific place, on a limited set of monitors). sasa kama ndo unataka kupiga surveilance kwa nyumba yako, ukiwa una mshiko wa kutosha, ingia duka za electonics (benson & company hapa a.town) na watakusaidia. kama Mungu alikujalia brains kama mie na Young Master, unaweza ukatafuta cameras, build/buy a server, weka program za surveilance (kama Dorgem project) and you're set to go. this way, unaweza save thousands of mullas $$$
Ndio sasa nataka kujua gharama zake .. Nitupie inforamation ama nitafutie kijana wangu.. ila usitafute za bei sana si unajua sisi hatuna pesa za mafisadi kaka
unachosemea ni CCTV (Closed-circuit television) (CCTV is the use of video cameras to transmit a signal to a specific place, on a limited set of monitors). sasa kama ndo unataka kupiga surveilance kwa nyumba yako, ukiwa una mshiko wa kutosha, ingia duka za electonics (benson & company hapa a.town) na watakusaidia. kama Mungu alikujalia brains kama mie na Young Master, unaweza ukatafuta cameras, build/buy a server, weka program za surveilance (kama Dorgem project) and you're set to go. this way, unaweza save thousands of mullas $$$
Asante sana kaka kwa maujanja. Nitazingatia sana ushauri wenu
wakuu... cctv kwa nje sawa ila msiingie kumonitor wake zenu. zitawavunjia ndoa
Saint Ivuga najua huu ni mpango mahsusi kumpiga deo a.k.a chabo yule beki tatu mpya mwenye mkunyenye wa kusababisha mfadhaiko mliye mtoa Kitonsa