Msaada wadau kuhusu custom rom

Msaada wadau kuhusu custom rom

Olsea

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
473
Reaction score
297
Za saa hiz wakuu natumai mu wazima,naomba msaada kuhusu hii simu...natumia huawei p6 na nme weka custom rom(miui rom v6) ila tatzo linakuja baada ya kuweka hii rom kla kitu kpo sawa ila interna storage haifanyi kaz,inaonekna kla kitu na uki install applications znakubal ila ukfungua internal storage iko empty na hata ukitaka ku save au ku creat folder inagoma na kuandka "can't creat folder"...kwa yeyote mwenye uelewa na hili tatzo naomben msaada maana hii rom nmeipenda sana...natanguliza shukran.
 
Kaka why usiende kwenye thread ya developer aliotengeneza hio rom? Maana ndio sehemu nzuri zaidi ya kureport bugs na matatizo pamoja na kupata solutions
 
Za saa hiz wakuu natumai mu wazima,naomba msaada kuhusu hii simu...natumia huawei p6 na nme weka custom rom(miui rom v6) ila tatzo linakuja baada ya kuweka hii rom kla kitu kpo sawa ila interna storage haifanyi kaz,inaonekna kla kitu na uki install applications znakubal ila ukfungua internal storage iko empty na hata ukitaka ku save au ku creat folder inagoma na kuandka "can't creat folder"...kwa yeyote mwenye uelewa na hili tatzo naomben msaada maana hii rom nmeipenda sana...natanguliza shukran.

rudisha stock ROM mkuu..baadhi ya ROM znakua na matatizo hayo..au flash ROM nyngne
 
Moja ya simu kali lakini zenye support ndogo sana ya developers kwa upande wa Custom ROM ni Huawei P lineup..
Cha kufanya mkuu nenda XDA developers tafuta STOCK ROM ya P6 flash kila kitu kuanzia system, Boot na Kernel ili ianze upya kabisa..
 
Asanteni wadau..ngoja nifanye hi yo.
 
Back
Top Bottom